Sitta aunda kamati ndogo Bunge la Katiba

Samuel Sitta akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge la katiba

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta ameunda kamati ndogo yenye ujumbe wa watu 10 kwa ajili ya kushughulikia masuala ambayo hayakufikia muafaka kwenye Kamati 12 za Bunge hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS