Polepole atoa angalizo Bunge Maalumu la Katiba

Mjumbe wa Iliyokuw Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humphrey Polepole.

Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Humphrey Pole Pole amependekeza bunge maalumu la Katiba liendelee lakini kwa kufuata ushauri wa watu wachache wenye busara za kunusuru mchakato huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS