Mawaziri Afrika Mashariki kujadili ebola

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii nchini Tanzania Dkt Seif Rashid.

Naibu katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia miundombinu Dkt Enos Bukuku ameelezea mkakati wa kuwakutanisha mawaziri wa Afya nchi aa Afrika mashariki ili kujadili mbinu za kukabiliana na ugonjwa wa Ebola.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS