JK azidua mfumo wa huduma za Afya Masafa, Morogoro
Rais Kikwete ameanza ziara ya Mkoa wa Morogoro kwa kuzindua Mfumo wa Huduma za Afya za Masafa – telemedicine – katika Kituo cha Afya cha Mwaya, Wilaya ya Ulanga, ambako mtoto mchanga wa kike wa umri wa saa chache amepewa jina la Salma.