Dance 100% Robo Fainali Jumamosi Mashindano ya kucheza muziki nchini Tanzania Dance 100% 2014 Mashindano makubwa ya kudance Afrika Mashariki, Dance 100% 2014 hatua ya Robo Fainali yanatarajia kutikisa kiburudani siku ya Jumamosi tarehe 23 Agosti mwaka huu jijini Dar es Salaam. Read more about Dance 100% Robo Fainali Jumamosi