Ataui apatikana hai mwanamitindo kutoka nchini Sudan Ataui Deng Mwanamitindo Ataui Deng ambaye alipotea kwa muda wa siku 10 huko jijini New York nchini Marekani, hatimaye amepatikana akiwa hai, mpango uliofanikiwa baada ya kampeni kubwa ya kumsaka iliyoendeshwa na mwanamuziki nyota Rihanna. Read more about Ataui apatikana hai