Wakulima Ruvuma waujia juu uongozi wa mkoa
Wakulima mkoani Ruvuma nchini Tanzania wamelalamikia uongozi wa mkoa huo kwa kuchelewa kufungua soko kubwa la mahindi kama alivyoagiza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa katika ziara ya mkoa huo na kuagiza kufunguliwa kwa soko hilo.