Bunge la Katiba liendelee-Baraza Vyama vya Siasa

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw. Peter Kuga Mziray.

Baraza la vyama vya siasia nchini Tanzania limetoa msimamo wake kuhusiana na hatma ya Bunge Maalumu la Katiba ambapo limetaka bunge hilo liendelee.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS