Michuano ya FEASA yasimamisha Rollball Afrika
Baada ya kuingiliana kwa ratiba ya kuutumia uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es salaam kwa michuano ya Afrika ya mchezo wa Rollball na ile ya shule za sekondari kwa nchi za Afrika Mashariki sasa Rollball yasalim amri nakuahirisha michuano yao