Magwiji wa timu ya Real Madrid kutua Dar August 21

Baadhi ya wachezaji wa timu ya magwiji wa Real Madrid watakaotua nchini kuanzia August 21 mwaka huu.

Ziara yao itatoa funzo kwa vijana na itafungua fursa ya ushirikiano katika nyanja za kimichezo, kijamii na kiuchumi kwakuwa watatembelea pia baadhi ya vivutio vya utalii hapa nchini

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS