Rais ana mamlaka ya kuvunja bunge la Katiba- LHRC
Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania, LHRC, kimemtaka mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Fredrick Werema, kuwaeleza ukweli Watanzania kuhusiana na mamlaka ya Rais katika mchakato unaoendelea wa kutafuta katiba mpya.