Kili Music Tour Dom joto leo Weusi ndani ya Dom taayri kukinukisha leo Kilimanjaro Music Tour 2014, leo hii inatarajiwa kuwasha moto wa burudani jijini Dodoma, ndani ya Uwanja vya Jamhuri kupitia show kali ambayo milango yake inafunguliwa mida hii. Read more about Kili Music Tour Dom joto leo