AK47 abariki mahusiano ya Weasel na Samira

AK47, Weasel na Samira

Msanii Weasel kutoka Uganda, amepata baraka zote kutoka kwa AK47 katika mchakato wa kuhalalisha penzi lake na mwanadada Samira ambaye ambaye yeye AK47 mwenyewe aliwahi kuwa na mahusiano naye kipindi cha nyuma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS