Steve Nyerere kutengeneza chipukizi waadilifu

Steve Nyerere - Rais Bongo Movie Unity

Msanii wa Maigizo na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere amesema kuwa, katika uongozi wake, amefanya jitihada kubwa kufungua milango kwa wasanii chipukizi wenye maadili kuingia katika tasnia hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS