Wabibi atafutiwa ziara EA
Mtayarishaji video mahiri, Abbas Adam pamoja na timu nzima inayomsimamia msanii Wabibi, wametangaza ziara kubwa Afrika Mashariki yenye lengo la kumtangaza msanii huyu na pia kufanya kolabo kadhaa na wasanii kutoka nje ya mipaka ya Bongo.