Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye mjadala (round tables discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika,

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba dira yake ni kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya serikali katika sekta ya kilimo. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS