Ruben Amorim apewa miaka miwili na miezi 8 Man u
Klabu ya Manchester United inatarajia kumtangaza Ruben Amorim kuwa Kocha wao mpya muda wowote siku ya leo baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Mkufunzi huyo kutoka timu yake ya Sporting Lisbon ya nchini Ureno. amesaini mkataba wa miaka miwili na miezi 18 utafikia tamati 2027.