Hisa za UDA zipo salama: Kisena Mwenyekiti wa bodi ya UDA Bwana Robert Kisena Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya usafiri jijini Dar es salaam UDA Bwana Robert Kisena amesema hisa za serikali katika kampuni hiyo ziko salama. Read more about Hisa za UDA zipo salama: Kisena