Wizara yafafanua kuhusu homa ya Dengue
Wizara ya afya na ustawi wa jamii nchini Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusiana na hali ya ugonjwa wa Dengue nchini na kwamba mpaka sasa ni wagonjwa 31 tu ndio wamelazwa katika hospitali mbalimbali jijini Dar es Salaam.