Makipa wa ligi kuu wajifua kwa pamoja

Mwadini Ally wa Azam na Hussein Sharrif 'Casillas Munyama' wa Mtibwa Sugar. Hawa ni baadhi ya makipa wanaofanya mazoezi yao Kinondoni.

Walinda mlango wa timu kadhaa za ligi hiyo wamejikusanya na kufanya mazoezi kwa pamoja katika uwanja wa Garden uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam chini ya makocha Adam Meja na Mussa Mubaya Moloto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS