Wazee Yanga kutinga kwa mkuu wa mkoa
Baada ya uongozi wa manispaa ya jiji la Dar es salaa, kusuasua kutoa majibu ya ombi la klabu ya Yanga kutaka kuongezewa eneo kidogo la kufanya ujenzi wa kitega uchumi, wazee wa timu hiyo wajipanga kwenda kwa mkuu wa mkoa