Baadhi ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete ameitaka sekta ya utumishi kuhakikisha kuwa watumishi wanaostahili kupandishwa vyeo wanapandishwa kwa wakati