Baada ya kutua Bongo. Ben Pol asuka michongo
Baada ya kurejea nchini akitokea nchi Ujerumani kwa shughuli za kimuziki, Msanii wa muziki wa R&B, Ben Pol ametoa ripoti ya safari yake hii, huku akiweka wazi namna alivyofurahishwa na kufanya kazi na DJ wa kimataifa na pia kutengeneza michongo mipya