Manchester City imetupwa nje kombe la carabao

Klabu ya Manchester City usiku wa jana ilitolewa nje ya mashindano ya kombe la Carabao baada ya kupoteza   mchezo dhdi ya Tottenham Hotspurs kwa kufungwa goli 2-1, haikua siku nzuri ofisini  kwa Vijana wa Pep Guardiola ugenini White Hart Lane.

Chelsea FC, Aston Villa, Manchester City na Brighton and Holve Albion timu zinazoshiriki ligi kuu Uingereza zimetolewa kwenye michuano hiyo katika hatua ya 4 bora huku Manchester United, Newcastle United, Arsenal  na Liverpool zimefanikiwa kuingia kucheza hatua ya robo fainali ya carabao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS