Wanafunzi wawili wafariki ajalini Mbeya
Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa kidato cha pili, mmoja Shule ya Sekondari St Francis na mwingine Sekondari ya Pandahill wamefariki dunia papo hapo na watu wengine watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu