Kamati kuu CCM yalaani UKAWA Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana katika moja ya vikao vya Kamati Kuu ya CCM Kamati Kuu ya CCM imekutana leo mjini Dodoma kwa dharura na kujadili masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na mwenendo wa mchakato wa kupata Katiba mpya. Read more about Kamati kuu CCM yalaani UKAWA