Jaji Bomani awapa ujasiri wanahabari
Jaji mstaafu wa mahakama kuu ya Tanzania, Mark Bomani, amewataka wana habari nchini kufanya kazi bila woga pamoja na kukataa kununuliwa, hii ikiwa ni pamoja na kuendelea kupigania sheria ya uhuru wa vyombo vya habari.