FIFA yafungua semina ya CECAFA Dar
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Nicholas Meignot hii leo amefungua semina ya mawasiliano kwa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).