Chameleone kurejea katika makazi yake
Staa wa muziki wa nchini Uganda, Jose Chameleone ameripotiwa kuwa katika mpango wa kurejea katika jumba lake lililopo huko Seguku nje kidogo ya jiji la Kampala nyumba ambayo alilazimika kuihama mwanzoni mwa mwaka 2013 kwa sababu za kuisalama.