WAKILI OGUNDE KUCHUNGUZA USAJILI STARS

Frank Domayo akisaini mkataba na klabu ya Azam

Shirikisho la soka Tanzania TFF linaanza kufanya uchunguzi juu ya vitendo vinavyofanywa na baadhi ya klabu za soka kuwasajili wachezaji ambao wako katika kambi ya timu ya Taifa kinyume na utaratibu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS