Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakipita kwenye daraja ambalo miundombinu yake iko hatarini kuharibiwa na mafuriko.
Baadhi ya wakazi wa maeneo mbambali ya jiji la Dar es salaam nchini Tanzania wameendelea kutoa vilio vyao kwa serikali kufuatia uharibifu mkubwa uliosababishwa na mvua.