JK amaliza mikutano na viongozi wa nje Rais Kikwete akiwa na baadhi ya viongozi kutoka nje, katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Rais Jakaya Kikwete amemaliza mfululizo wa mikutano na viongozi wa nje waliokuja katika sherehe za miaka 50 ya muungano. Read more about JK amaliza mikutano na viongozi wa nje