Dar yakabiliwa na ongezeko la wagonjwa wa Dengu

Mbu ni mmoja wa wadudu wanaosambaza ugonjwa hatari wa homa ya Dengu

Wagonjwa wanne kati ya sita wanaofika katika hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ajili ya kupima ugonjwa wa malaria wanagundulika kuwa na vimelea vya wadudu wa homa ya Dengue.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS