MNH yakabiliwa na uhaba wa dawa za saratani

Moja ya majengo ya hospitali ya taifa Muhimbili

Wodi ya watoto wenye saratani za aina mbalimbali katika hospital ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa dawa za kuwatibu watoto wenye ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS