Bobi Wine akumbuka Wagonjwa na Wajawazito

Bobi Wine

Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Bobi Wine baada ya kumaliza vizuri sikukuu ya pasaka, ameamua kuwakumbuka wagonjwa na akina mama wajawazito kwa kutembelea kituo cha afya cha Nakasongola huko Kampala na kutoa misaada mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS