Thomas Mashali apata ajali. Thomas Mashali akionesha majeraha yake. Bondia machachari hapa nchini ambaye hivi karibuni alitwaa ubingwa wa Afrika wa UBO baada ya kumpiga Japhet Kaseba, Thomas Mashali amepata ajali mbaya alipokuwa akitoka mazoezini. Read more about Thomas Mashali apata ajali.