Martin Kadinda apambana Kikaangoni leo

Martin Kadinda ndani ya EATV

Mbunifu wa mitindo ya mavazi maarufu hapa Tanzania, Martin Kadinda leo hii ameshiriki katika Kikaangoni Live ya ukurasa wa facebook wa EATV, na kupata nafasi ya kuchat moja kwa moja na mashabiki wake kupitia ukurasa huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS