Daniel Dubois kutetea mkanda wake dhidi ya Wardley
Fabio Wardley anatizamwa kama Bondia sahihi wa kupanda ulingoni dhidi ya Dubois kutokana na uwezo wake mkubwa ulingoni na rekodi zake. Ameshinda mapambano 17 kwa KO kati ya 18 aliyopigana huku Daniel Dubois akiwa na rekodi ya KO 21 kati ya mapambano 22 aliyopiyogana.