Wakataa fidia ya serikali wakitaka haki itendeke
Familia za watoto 70 nchini Gambia waliofariki kutokana na majeraha ya figo , wanaodaiwa kuhusishwa na ulaji wa dawa za kikohozi zilizotengenezwa nchini India, zimekataa ofa ya fidia kutoka serikali ya nchi hiyo.