Usafiri wa anga ni salama - Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali itaendelea kuchukua hatua ili kuhakikisha usafiri wa anga unakuwa salama na unazingatia viwango vinavyohitajika kitaifa na kimataifa