Serikali yatakiwa kuchunguza kujeruhiwa wanasiasa
Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania LHRC, kimeitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini sababu za kujeruhiwa kwa wanasiasa wakati wa kampeni mbali mbali za chaguzi zinazofanyika nchini.