Bei za mahindi,maharage yazidi kupaa juu

Wasafirishaji na wafanyabiashara wa nafaka yakiwemo mahindi,mchele namaharage wamesema bei ya nafaka hizo inazidi kupaa juu Licha ya Mamlaka ya usimamizi wa Nishati na maji EWURA kutangaza kushuka Kwa bei kwenye mafuta Kwa mfululizo yani mwenzi wa October na bei mpya ya November.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS