Konshens kurejea tena Nai Konshens Mkali wa miondoko ya Dancehall kutoka nchini Jamaica, Konshens kwa mara ya pili katika historia anatarajia kutua Jijini Nairobi kutumbuiza katika onyesho kubwa litakalofanyika tarehe 12 mwezi Aprili. Read more about Konshens kurejea tena Nai