Roma: Mitaa, Wadau wameikubali KKK

Baada ya kutoa ngoma ya KKK msanii Roma Mkatoliki amesema kuwa amefarijika sana kuona mapokezi ya aina yake ya kazi hiyo kutoka kwa wadau na mashabiki wa aina mbali mbali mitaani, jambo ambalo linaashiria mafanikio makubwa ya kile ambacho amekifanya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS