Kabumbu wk13
Mwenendo wa timu ya Coastal Union ya Tanga bado si wa kuridhisha licha ya kuifunga Simba. Mpaka sasa ipo katika nafasi ya 7 ikiwa na pointi 29 huku ikiwa imebakiza mechi 4 kabla ya ligi kumaliza ligi. Usikose mjadala huu Ijumaa kujua tatizo liko wapi