Wasanii Bongo Movie kukumbuka waliotangulia
Wasanii wa filamu hapa Bongo, mwishoni mwa wiki hii wanatarajia kufanya tukio kubwa Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuadhimisha miaka 3 tangu tasnia ya filamu Bongo ilipoanza kulikamata soko nchini, na kutoa heshima kwa wasanii waliokwishafariki.