Jide, Diamond wawania tuzo kibao KTMA Majina ya wasanii na makundi mbalimbali ya muziki yatakayowania tuzo mahiri za muziki za Kilimanjaro kwa mwaka 2014, yametangazwa leo jijini Dar es Salaam. Read more about Jide, Diamond wawania tuzo kibao KTMA