Kesi ya Mchungaji anayetuhumiwa kubaka yakwama
Kesi namba 79 ya mwaka 2022 ya ubakaji inayomkabili Nrdin Abdalah ambae ni mchungaji na mwinjilisti wa vitabu katika kanisa la waadiventista wasabato kisesa, imeshindwa kuendelea leo katika mahakama ya wilaya ya Magu kutokana na mashahidi kushindwa kufika mahakamani