Tiwa kuaga ukapera Aprili Mwanamuziki wa nchini Nigeria, Tiwa Savage pamoja na Teebillz ambaye ni Meneja wake, wametangaza tarehe ya harusi yao rasmi ni tarehe 26 mwezi April mwaka huu ambapo mpaka sasa shughuli za maandalizi zinakwenda sawa sawa. Read more about Tiwa kuaga ukapera Aprili