Nirvana
Usikose kuangalia Nirvana Jumanne hii ambapo tutakuletea safari yetu ya Lushoto na vivutio vinavyopatikana wilayani humo mojawapo ikiwa ni maporomoko ya Mkuzi Nirvana kwa mara ya kwanza kabisa ndani ya Lushoto Jumanne hii sa moja usiku, EATV pekee